DE LA FUENTE AKARIBISHA TETESI ZA KUSHINDA KOMBE LA DUNIA
Kocha wa timu ya taifa ya Hispania, Luis de la Fuente, amesema anafurahia shinikizo la kuwa miongoni mwa wagombea wakuu wa kushinda Kombe la Dunia, akizungumza kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya Misri jijini Barcelona. De la Fuente amempongeza nyota, Lamine Yamal, huku akiepuka kusema iwapo ataanza mechi dhidi ya timu ya Misri, ambayo […]
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































