#Local News

MAFUNZO ‘YASIYOFAA’ CHANZO CHA UKATILI WA POLISI, WAKILI

Mafunzo wanayopokea maafisa wa polisi na matatizo ya kiakili kutokana na mazingira mabovu ya kazi ndicho chanzo cha polisi kutumia nguvu kupita kiasi na kuongeza mwanya kati yao na umma.

Ndiyo kauli ya wakili Willis Otieno, kwenye mahojiano na runinga moja nchini ambako amerejelea matukio ya hivi punde ikiwemo polisi kumdhulumu mchuuzi wa maski kwa kumpiga risasi.

Kulingana naye, polisi wanahitaji kupewa nasaha mara kwa mara.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

MAFUNZO ‘YASIYOFAA’ CHANZO CHA UKATILI WA POLISI, WAKILI

UBABE WA UONGOZI WAENDELEA MACHAKOS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *