#Local News

MAHAKAMA IKO SALAMA

Wafanyikazi wa mahakama wamehakikishiwa usalama wao baada ya hakimu wa mahakama kuu ya makadara Monica Kivuti kipigwa risasi na afisa wa polisi.

Kwa mujibu wa inspekta generali wa polisi Japhet Koome DCI inachunguza kilichosababisha afisa huyo kumpiga risasi hakimu kivuti.

Yakijiri hayo jaji mkuu Martha Koome ameamrisha mahakama ya makadara.

Kufungwa kufuatia kisa hicho hadi pale uchunguzi utakapokamilika.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *