#Local News

RUTO AONGOZA HAFLA YA MAOMBI YA KITAIFA NAIROBI

Rais William Ruto leo hii anatarajiwa kuongoza hafla ya maombi ya kitaifa itakayofanyika katika hoteli ya Safari Park jijini Nairobi.

Spika wa bunge la kitaifa Moses Masika Wetangula alitangaza rasmi kuandaliwa kwa hafla hiyo ambayo hufanyika kila mwaka.

Viongozi mbali mbali wa humu nchini na wengine kutoka mataifa ya nje wanatarajiwa kuhudhuria maombi hayo Kauli mbiu ya maombi ya mwaka huu ikiwa ni matumaini.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *