#Local News

GEN-Z KAKAMEGA WAKATAA MAZUNGUMZO NA GAVANA WAO

Vijana wa kizazi cha Gen-Z katika kaunti ya Kakamega wamepuuzilia mbali uwezekano wa kuwapo kwa mazungumzo baina yao na gavana wa kaunti hiyo Fernandez Baraza.

Vijana hao wanasema kuwa ,gavana Baraza anapaswa kutekeleza malalamishi waliyowasilisha kwake badala ya kuitisha vikao kwa kuwa kulingana nao hawatashiriki mazungumzo na kwamba watakaofanya hivyo watakuwa wasaliti wa vijana wenzao.

Imetayarishwa na Janice Marete

GEN-Z KAKAMEGA WAKATAA MAZUNGUMZO NA GAVANA WAO

LIVERPOOL WATATUMIA MACHO NNE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *