#Football #Sports

TIMU YA FIRAT KUONYESHA MAKALI YAKE DHIDI YA CAMEROON

Kocha wa harambee stars engine firat amesema ana mfumo wake fiche, atakaoutumia kucheza dhidi ya miamba wa soka barani afrika cameroon, maarufu Indomitable Lions.

Baada ya ushindi dhidi ya namibia, Firat amesifia wachezaji wake licha ya kukumbwa na changamoto mbali mbali, ikiwemo sehemu maalum ya kufanyia mazoezi. Huku wengi wa wachezaji wa stars wakiwa na majeraha.

Amewahimiza mashabiki kuwa watulivu na kujitokeza kwa wingi kuishabikia timu ya taifa harambee stars kwenye mechi dhidi ya cameroon tarehe 7 mwezi ujao

Firat alikashifiwa vikali na mashabiki baada ya kukosa kupata ushindi kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Zimbabwe, nyumbani. Kulingana na baadhi ya mashabiki, mfumo wa kocha huyo haukutilia maanani makali ya washambulizi.

Imetayarishwa na Osoro Kennedy

TIMU YA FIRAT KUONYESHA MAKALI YAKE DHIDI YA CAMEROON

OLUNGA ASHINIKIZWA KUREJEA KWENYE KIKOSI CHA HARAMBEE

TIMU YA FIRAT KUONYESHA MAKALI YAKE DHIDI YA CAMEROON

BAADHI WACHEZAJI WA ASENALI WAKUMBWA NA MAJERAHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *