#Local News

KESI YA KUZUIA SENETI KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA GAVAVA WA KERICHO ERICK MUTAI YAWASILISHWA MAHAKAMANI

Walalamishi watatu wamewasilisha kesi kutaka kuzuwia seneti kusikiza kesi ya kutimuliwa kwa gavana wa Kericho Erick Mutai.

Ronald Kibet, George Muiruri na Christopher Kimiti wanahoji kuwa Seneti haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua hoja ya kuondolewa mashtaka kwani imeshindwa kupata uungwaji mkono wa angalau theluthi mbili ya wanachama wote wa Bunge la Kaunti ya Kericho jinsi ilivyo sasa.

Watatu hao zaidi wanahoji kuwa Seneti haina kipingamizi cha kusikiliza na kuamua hoja ya kumshtaki.
Katika hoja iliyowasilishwa na mwakilishi Wadi ya Sigowet Kiprotich Rogony, Mutahi anashutumiwa kwa ukiukaji mkubwa wa katiba, matumizi mabaya ya afisi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

Imetayarishwa na Janice Marete

KESI YA KUZUIA SENETI KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA GAVAVA WA KERICHO ERICK MUTAI YAWASILISHWA MAHAKAMANI

AFISA WA IEBC AKAMATWA KWA MADAI YA

KESI YA KUZUIA SENETI KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA GAVAVA WA KERICHO ERICK MUTAI YAWASILISHWA MAHAKAMANI

MGONJWA MMOJA WA MPOX AFARIKI DUNIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *