KARUA AILAUMU TUME YA MAHAKAMA KWA KASORO KUU MAHAKAMANI
Tume ya Huduma za Mahakama inapaswa kubeba lawama kutokana na kasoro zinazoshuhudiwa katika Mahakama ya Upeo.
Hayo ni kwa mujibu wa kiongozi wa chama cha Peoples Liberation Party (PLP), Martha Karua, ambaye anadai kuwa baadhi ya maafisa wanaohudumu katika tume hiyo hawana sifa stahiki, huku wengine wakidaiwa kuteuliwa kwa njia za kifisadi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































