VIONGOZI WA UPINZANI WAISHTUMU SERIKALI
Viongozi wa mrengo wa upinzani wameishtumu vikali serikali ya rais William Ruto wakidai kuwa haijatekeleza ahadi ambazo waliahidi wananchi.
Wakiongozwa na kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka wamekashfu utawala wake wakidai vijana wengi wanatekwa nyara kutokana na sababu zisizi za kimsingi.
Aidha wameitaka serikali kutekeleza majumuku yao kwa wakati ufao.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































