RUTO AINGIA SOUTHRIFT
Wakazi wa eneo la Southrift wameratibiwa kunufaika na uzinduzi wa miradi ya maendeleo kwenye ziara ya Rais William ambayo imeanza hii leo.
Akizungumza katika eneo la Ntulele kaunti ya Narok ambako amezindua rasmi soko, Rais Ruto amewahimiza wakazi kukumbatia mshikamano wa taifa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 

























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































