MWANAMME AMUUA MKEWE, AJIUA MWINGI
Polisi katika eneo la Mwingi East wanachunguza kisa ambapo mwanamme mmoja ameripotiwa kumwua mkewe kwa kumkataka kwa upanga kabla ya kujitoa uhai kwa kunywa sumu katika wadi ya Moi.
Kwa mujibu wa wakazi, wanandoa hao wamekuwa na mzozo wa mara kwa mara, wakisema polisi wamewahi kuingilia ugomvi wa wawili hao.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































