MOSHI MWEUPE KWA MBEUMO
Manchester United wamefikia makubaliano na Brentford kumsajili mshambuliaji Bryan Mbeumo.
Baada ya mazungumzo ya wiki kadhaa, dili la thamani ya hadi £71million ($95.5m) hatimaye limepigwa. – Mwanariadha
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































