RAIS WILLIAM RUTO AMETEUA MAJAJI 20 KUHUDUMU KATIKA MAHAKAMA KUU

Rais William Ruto amewateua watu 20 ktika nyadhifa za majaji wa mahakama kuu kufuatia pendekezo la tume ya huduma za mahakama JSC.
Katika taarifa kwa vyombo vya Habari ambayo imechapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali , walioteuliwa sasa wanasubiri kuapishwa rasmi kuanza kuhudumu.
Majaji hao ni Moses Ado Otieno, Alice Chepngetich Bett Soi, Benjamin Mwikya Musyoka, John Lolwatan Tamar, Francis Weche Andayi, Andrew Bahati Mwamuye, Julius Kipkosgei Ng’arng’ar, Wendy Kagendo Micheni, Emily Onyando Ominde, Helene Rafaela Namisi, Alexander Muasya Muteti,Julius Mukut Nangea, Benjamin Kimani Njoroge, Caroline Jepyegen Kendagor, Stephen Nzisi Mbungi, Linus Poghon Kassan, Noel Onditi Adagi Inziani, Tabitha Ouya Wanyama, Rhoda Cherotich Ruto na Joe Omido Mkutu.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































