#Local News

OLE NDIEMA ATAKA MSHIKAMANO NA MAOMBI KWA TAIFA

Mshikamano wa kitaifa umetajwa kuwa nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na maendeleo ya taifa, kwa mujibu wa aliyekuwa Seneta wa Kaunti ya Trans Nzoia, Henry Ole Ndiema.

Ndiema ametoa wito kwa viongozi wa kidini kuendelea kuliombea taifa, huku akiwatahadharisha wanasiasa dhidi ya kutoa matamshi yanayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *