UNASAFISHA MAJI CHAFU?;SIFUNA AWAAMBIA WABUNGE
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amepuuzilia mbali mpango wa serikali kufanyia marekebisho baadhi ya mapendekezo katika Mswada wa Fedha wa 2024 kwa akisisitiza kuwa wabunge wa mrengo wa Azimio wanapendekeza mswada huo ufutiliwe mbali kwa kuwa unalenga kupandisha gharama ya maisha kwa wakenya.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































