#Local News

CHAMA CHA INJECT PARTY CHAKE MORARA KEBASO CHAITHINISHWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA KISIASA NCHINI

Msajili wa vyama vya kisiasa nchini Ann Nderitu ameithinisha usajili wa chama cha (Inclusion of National Justice, Economic and Civic Transformation) maarufu INJECT kama chama cha kisiasa nchini Kenya.

Chama cha INJECT kilichobuniwa na mwanaharakati Kebaso Morara Kupitia mtandao wa X, Morara Kebaso amechapisha picha ya barua kutoka kwa ofisi ya usajili wa vyama vya kisiasa ikionyesha kukubaliwa kwa jina la chama hicho katika orotha ya vyama vya kisiasa nchini.

Morara aidha amesema kuwa chama hicho kitanyakuwa viti vyote katika bunge la kitaifa, seneti na viti vingine vya kisiasa kwenye nyadhfa m bali mbali za uchaguzi.

Imetayarishwa na Janice Marete

CHAMA CHA INJECT PARTY CHAKE MORARA KEBASO CHAITHINISHWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA KISIASA NCHINI

ARSENALI WAPIGA PSG

CHAMA CHA INJECT PARTY CHAKE MORARA KEBASO CHAITHINISHWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA KISIASA NCHINI

NEEMA WASHIEIKIANA NA SERIKALI YA KAUNTI YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *