MASHIRIKA YAKOSOA OMBI LA RAIS RUTO

Mashirika ya kijamii yamemkosoa Rais William Ruto kwa kusalia kimya wakati ambapo wakenya wamedhulumiwa, ikiwemo wakati wa maandamano na kufurushwa kwa wanaharakati kutoka nchini Tanzania.
Katika kikao na wnahabari mjini Machakos, mashirika hayo chini ya mwavuli wa Okoa Uchumi yameelezea kutoridhinishwa na kimya hicho, yakisema ni ishara kwamba ombi la Rais kutaka asamehewe ni unafiki.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa