MWANGAZA APUMUA TENA KWA FURAHA

Gavana wa Meru Kawira Mwangaza amepata afueni baada ya mahakama kuu kubatilisha uamuzi wa bunge la seneti wa kumbandua kutoka afisini.
Katika uamuzi huo, Jaji Bahati Mwamuye vile vile amemwagiza spika wa bunge la Seneti Amason Kingi kutochapisha tangazo la afisi ya gavana wa Meru kuwa wazi kwenye gazeti rasmi la serikali.
Imetayarishwa na Janice Marete