#Local News

MWANAMKE AFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARA KWENYE BARABARA YA LANG’ATA

Mwanamke mmoja amefariki kutokana na majeraha aliyopata kufuatia ajali ya barabarani katika barabara ya Lang’ata karibu na bustani ya Uhuru.

Mwanamke huyo ambaye hajatambuliwa anasemekana kuwa alikuwa akivuka barabara wakati gari lililokuwa likielekea Lang’ata kutoka kutoka jijini nairobi lilipomgonga.

Kulingana na polisi marehemu amepata majeraha mabaya na kufariki papo hapo.

Mwili huo umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti ukisubiri kutambuliwa na kufanyiwa uchunguzi wa maiti.

Imetayarishwa na Janice Marete

MWANAMKE AFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARA KWENYE BARABARA YA LANG’ATA

WANASIASA CHIPUKIZI WATETEA BEI YA SHILINGI 3500

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *