#uncategorized

ABIRIA WAKWAMA NDANI YA GARILA ABIRIA KWENYE AJALI JOGOO ROAD

Baadhi ya abiria wamekwama ndani ya basi lilioanguka katika eneo la makutano buruburu kwenye barabara ya Jogoo Rd.


Basi hilo la kampuni ya Forward lililokuwa linaelekea katikati ya jiji la Nairobi kutoka mtaa wa kayole wakati lilipoanguka na kusababisha msongomano wa magari.


Maafisa wa polisi wa trafiki Pamoja na maafisa wa huduma za dharura kwa sasa wako kwenye eneo la tukio kwendesha shughuli za uokoaji na kudhibiti msongomano wa magari.


Hata hivyo hakuna aliyeripotiwa kuaga dunia.

ELIZABETH CHESANG TATU TENA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *