#uncategorized

RAIS RUTO AONGOZA KUAPISHWA KWA MAJAJI 20 WA MAHAKAMA YA JUU

Rais William Ruto ameitaka idara ya mahakama kushirikiana na idara nyingine za serikali kuwahudumia wananchi.

Akihutubu kwenye hafla ya kiuwaapisha majaji ishirini wa mahakama kuu katika ikulu jijini Nairobi , Ruto amesema pana haja ya idara za serikali kushirikiana kuwahudumuia wananchi.

Ishirini hao wanaoapishwa Moses Ado Otieno, Alice Chepngetich Bett Soi, Benjamin Mwikya Musyoki, John Lolwatan Tamar, Francis Weche Andayi,  Andrew Bahati Mwamuye, Julius Kipkosgei Ng’arng’ar, Wendy Kagendo Micheni ,Emily Onyando Ominde,Helene Rafaela Namisi, Alexander Muasya Mutetia , Julius Mukut Nangea,Benjamin Kimani Njoroge, Caroline Jepyegen Kendagor, Stephen Nzisi Mbungi, Linus Poghon Kassan, Noel Onditi Adagi Inziani, Tabitha Ouya Wanyama, Rhoda Cherotich Ruto na  Joe Omido Mkutu.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *