#Local News

MUKUNJI AKABILIWA NA KESI YA UGAIDI

Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji atasalia katika kituo cha polisi cha Muthaiga hadi Jumanne wiki ijayo wakati ambapo mahakama ya Kahawa itatoa uamuzi kuhusu ombi lake la kupewa dhamana.

Hii ni baada ya upande wa mashtaka kuomba mahakama imzuilie kwa muda wa wiki 2 kutokana na uchunguzi unaoendelezwa katika madai ya mbunge huyo kufadhili na kupanga ugaidi wakati wa maandamano ya Saba Saba.

Wengine wanaozuiliwa na Mukunji ni mwanahabari James Ikuwa wa kituo kimoja cha redio kinachopeperusha matangazo kwa lugha ya Agikuyu na mhudumu wa boda boda Stanley Mbuthia.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MUKUNJI AKABILIWA NA KESI YA UGAIDI

GAVANA GUYO APUMUA

MUKUNJI AKABILIWA NA KESI YA UGAIDI

KARUA AMTAKA RUTO NJE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *