WAHUDUMU MAGARI: NA BADO!
Wahudumu wa magari mjini Busia wametetea hatua ya kupandisha nauli maradufu kwa wasafiri kutoka mjini humo kuelekea miji mingine, wakisema nauli itaendelea kuongezeka kwa kipindi cha wiki mbizi zijazo kutokana na idadi kubwa ya wasafiri.
Haya yanajiri huku wasafiri wakilalamikia kiwango cha juu cha nauli wanayotozwa licha ya hali ngumu ya uchumi.
Uhaba wa magari pia umeshuhudiwa katika maeneo mengi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































