HATIMA YA JOPO LA KUKAGUA DENI LA TAIFA KUJULIKANA SEPTEMBA

Jopo lililoteuliwa na rais William Ruto kukagua deni la taifa litaendelea kusubiri kwa muda zaidi kabla ya kuanza rasmi majukumu yao baada ya kesi iliyowasilishwa mahakamani na dkt. Benjamin Magare na Eliud Matindo kuwazuia kutekeleza majuukumu yao kusongezwa hadi tarehe 18 mwezi wa Septemba mwaka huu.
Imetayarishwa na Janice Marete