#Local News

FAINI, KIFUNGO KWENYE SHERIA ZA MITANDAO

Utatozwa faini ya shilingi milioni 20 au kufungwa jela kwa muda usiozidi miaka 10 iwapo utapatikana na kosa la kuchapisha maneno yatakayochechea uharibifu wa mali, uvamizi au kuvuruga amani.

Haya ni kulingana na sheria mpya inayodhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii, ambayo tayari imeidhinishwa na Rais William Ruto.

Sheria hiyo ambayo pia inadhibiti kuenezwa kwa mafunzo potovu ya kidini, inaipa serikali mamlaka ya kuzima mitandao au tovuti bila amri ya mahanakama iwapo inadhaniwa kuwachochea wananchi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

FAINI, KIFUNGO KWENYE SHERIA ZA MITANDAO

MAGAVANA KUJADILI KAULI ZA KAHIGA 

FAINI, KIFUNGO KWENYE SHERIA ZA MITANDAO

SHERIA ZA MITANDAO MAHAKAMANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *