ATI ATI ZA SHA

Hisia mbali zimeendelea kutolewa kuhusiana na changamoto zinazokabili sekta ya afya, serikali sasa ikitakiwa kuchukulia suala hilo kwa uzito na kuhakikisha wakenya wanapata huduma zilizo bora za afya.
Katika mahojiano na runinga moja nchini mapema leo, mbunge wa Dagoreti North Beatrice Elachi, ameibua hofu kuhusu uwezekano wa maafisa katika wizara ya afya kuhujumiana, naye mwenzake wa Ugenya David Ochieng akiitaka serikali kuwajibika.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa