#Local News

HATUNA UBAYA NA WENZETU, MUNYA

Kinara wa chama cha PNU ambacho ni chama tanzu katika muungano wa Azimio la Umoja Peter Munya, amewataka viongozi wa upinzani walio na nia ya kuingia serikali kufanya hivyo mara moja badala ya kujificha kwenye upinzani.

Munya anesema kwamba serikali inahitaji upinzani dhabiti ili kutekeleza wajibu wake na hilo litawezekana tu iwapo upinzani utasalia imara.

Aidha, Munya amepinga madai kwamba Rais William Ruto amebuni serikali ya muungano wa kitaifa kupitia uteuzi wake wa baraza la mawaziri, akisema utaratibu haujafuatwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HATUNA UBAYA NA WENZETU, MUNYA

RAILA AWASILISHA RASMI AZMA YA AUC

HATUNA UBAYA NA WENZETU, MUNYA

WAKAAZI MUMIAS WASHUTUMU POLISI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *