UJENZI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU WANGOA NANGA BUNGOMA
Ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika kaunti ya Bungoma umeanza rasmi huku mamia ya wakaazi wakinufaika na mradi huo.
Kwa mujibu wa msimamizi wa mradi huo Polycarp Onyango mradi huo utawahusisha wakaazi wa eneo hilo kwa kuwapa kazi.
Imetayarishwa na Janice Merete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































