#International

UHURU AELEZA MATUMAINI YA DEMOKRASIA AFRIKA KUSINI

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ambaye ni mwangalizi wa uchaguzi mkuu wa afrika Kusini ameeleza matumaini kwamba democrasia itasalia imara nchini humo baada ya uchaguzi uliofanyika kukamilika juzi.

Katita kikao na wanahabari jana jioni Uhuru aliipongeza uthibiti wa wananchi wa afrika kusini kwa kuwa wavumilivu zaidi hukju akionyesha iamani na uwezi wa tume ya uchaguzi kushugulikia na kutatua maswala yaliyoibuliwa na ambayo yanaendelea.

Uhuru vile vile amesisitiza imani yhake kwa mfumo wa uchaguzi katika umuhimu wa kudumisha utulivu na amani katika mchakato mzima wa kidemokrasia.

Imetayarishwa na Janice Marete

UHURU AELEZA MATUMAINI YA DEMOKRASIA AFRIKA KUSINI

MAHOJIANO KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *