ABIRIA WAPONEA KIFO BAADA YA BASI KUWAKA MOTO KARIBU NA MTITO ANDEI

Abiria waliokuwa kwenye basi moja wameponea kifo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuwaka moto katika Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo karibu na Mtito Andei kando ya barabara kuu ya Nairobi-Mombasa.
Hata hivyo hakuna vifo vimeripotiwa.
Imetayarishwa na Janice Marete