KINDIKI KWA BUNGE; NITAPATA KAZI?

Prof Kithure Kindike amefika mbele ya kamati ya mmahojiano ya bunge la kitaifa na tayari mahojiano yameanza.
Katika mahojiano hayo yanayoongozwa na spika wa bunge la kitaifa Kithure Kindiki ametakiwa kueleza mafanikio aliyoafikia alipokuwa Waziri wa usala na maswala ya ndani ya nchi.
Imetayarishwa na Janice Marete