#Local News

“HATUNA DENI LA SHULE!” SERIKALI YATANGAZA

Serikali imetangaza kuwa haina deni lolote la shule kuhusiana na mgao wa masomo, ikisema fedha zote za mwaka 2025 zimetolewa tayari licha ya walimu wakuu kusema kuwa ni kiwango kidogo tu cha fedha kilichotolewa.

Katibu mkuu katika wizara ya fedha Chris Kiptoo, amesisitiza kuwa shughuli za masomo zinafaa kuendelea bila kutatizika kwani tayari wizara hiyo imetoa fedha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

“HATUNA DENI LA SHULE!” SERIKALI YATANGAZA

HISIA ZA MSAMAHA WA RUTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *