TETESI ZA SOKA ULAYA- KLABU YA CRYSTAL PALACE INAMFUATILIA BEN CHILWELL

Timu ya Crystal Palace na Ipswich wote wanamfuatilia beki wa kushoto wa England na Chelsea Ben Chilwell kabla ya uhamisho wa Januari.
Juhudi za Bayern Munich kumshawishi kiungo mkabaji Jamal Musiala, 21, kuongeza mkataba wake na klabu hiyo iko katika njia panda baada ya pande zote mbili kukosa kuelewana. Kwa sasa, mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani anawindwa na Manchester City na Manchester United.
Imetayarishwa na Kennedy osoro