WAKENYA WAPUMUA MIKONONI MWA EPRA
Mamlaka ya kudhibiti kawi na petroli EPRA imetanagza bei mpya za mafuta mabapo lita ya petroli imepunguzwa kwa shilingi 3, diseli shilingi 6.08 nayo mafuta taa ikipunguzwa shilingi 5.71
Kutokana na kupungua huko, lita ya petroli jijini Nairobi itagharimu shilingi 189.84, diseli shilingi 173.10, nayo mafutaa taa ikigharimu shilingi 163.05 mtawalia.
Kulingana na EPRA, kushuka kwa bei kunaenda sambamba na sheria ya fedha ya 2023.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































