#Local News

VILIPUZI VYAKAMATWA NDANI YA BASI, HUKO EMBU UCHUNGUZI WAENDELEA

Uchunguzi umeanzishwa baada ya vilipuzi kupatikana ndani ya basi lililokuwa likielekea Meru, na watu watano, wakiwemo dereva, na mshukiwa mkuu Brenda Imboyanga, kukamatwa wakitarajiwa kufikishwa mahakamani.

Vilipuzi hivyo vimegunduliwa kwenye sanduku lenye nembo ya maziwa wakati wa doria ya kawaida barabara ya Kanyonyoo-Embu.

Basi na vilipuzi hivyo vinazuiliwa kama ushahidi huku uchunguzi ukiendelea.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *