#Local News

MATIBABU YAFANYIWA MAGEUZI NCHINI

Huduma za matibabu katika hospitali za umma nchini zinatarajiwa kuimarika kufuatia uzinduzi wa mradi mpya wa usambazaji wa vifaa vya matibabu vya thamani ya shilingi bilioni 200 kwa hospitali hizo katika kipindi cha miaka 7.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Rais William Ruto amesema tofauti na mfumo wa awali, serikali haitanunua mashine hizo ila italipia tu huduma muhimu zinazotolewa, mashine zikisalia mikononi mwa wamilimi wake.

Wamiliki pia watakuwa na jukumu la kuhakikisha utendakazi wa mashine hizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MATIBABU YAFANYIWA MAGEUZI NCHINI

STARS WAKABA KOO ANGOLA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *