#Local News

RUTO AMTETEA MUSEVENI KUHUSU BANDARI

Rais William Ruto ametetea kauli ya mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni za kutaka sehemu ya Bandari ya Mombasa, akishutumu vyombo vya habari kwa madai ya kueneza propaganda kuhusu suala hilo.

Akizungumza jijini Tororo, Ruto amedai kuwa kauli hizo zilinukuliwa visivyo na vyombo vya habari, akisisitiza kuwa uhusiano wa Kenya na Uganda ni dhabiti.

Mapema mwezi huu, Museveni alisisitiza kuwa Uganda ina haki ya kupata sehemu ya bandari hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AMTETEA MUSEVENI KUHUSU BANDARI

MBUNGE AISHUTUMU IEBC KWA VURUGU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *