GACHAGUA MAHAKAMANI KUPINGA KUFURUSHWA

Naibu rais Rigathi Gachagua sasa amewasilisha kesi katika mahakama ya Milimani jijini Nairobi kupinga hoja ya kubanduliwa kutoka mamlakani, ikiwa ni siku moja kabla ya vikao vya kukusanya maoni ya wakenya kuhusu hoja hiyo kuandaliwa.
Kupitia mawakili wake, Gachagua amesema kwamba hoja hiyo imechoichewa kwa misngi ya uongo na udanganyifu.
Aidha, amesema kwamba udanganyifu huo umewasilishwa kwa wananchi ili kufanikisha hioja hiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa