OMTATA: KUNA SIRI NYINGI KATIKA MRADI WA KUPEANA JKIA KWA ADANI

Mwanaharakati Okiya Omtata ameibua madai kwamba mradi wa kukodisha uwanja wa ndege wa kimataifa JKIA ni sakata ambayo inakiuka sheria za miradi ya binafsi kati ya serikali ya kenya na mashirika ya binafsi.
Kulingana na Omtata wahusika walio kwenye stakabadhi za mkataba huo hawakuzingatia utaratibu unaopaswa kuzingatia na kwamba kuna siri nyingi katika mradi huo.
Imetayarishwa na Janice Marete