NCIC IMESHINDWA KUZUIA UCHOCHEZI, MASENETA
Tume ya kitaifa kuhusu utangamano na uwiano NCIC imetakiwa kukaza Kamba na kukabili cheche za uchochezi katika mitandao ya kijamii nan je ya mitandao hiyo ili kuepusha taifa kutumbukia katika ghasia za baada ya uchaguzi jinsi ilivyoshuhudiwa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.
Ni wito uliotolewa na maseneta baada ya mkurugenzi mkuu wa NCIC Daniel Giti kufika mbele ya kamati ya utangamano wa kitaifa katika bunge la seneti.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































