KARANI WA BUNGE LA HOMA BAY ASIMAMISHWA KAZI
Karani katika bunge la kaunti ya Homa Bay Faith Apuko amesimamishwa kazi.
Kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na spika wa bunge hilo Julius Gaya Apuko amesimamishwa kazi kwa madai ya matumizi mabaya ya ofisi ,ufujaji wa fedha katika utoaji wa zabuni.
Apuko hata hivyo atapewa nafasi ya kujitetea baada ya siku kumi kukamilika.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































