#Local News

“NUSU MKATE” YA ODM

Chama cha ODM kimeshikilia kuwa ni sharti kihakikishiwe asilimia 50 ya nyadhifa za serikali mbali na utekelezwaji wa ajenda 10 kabla ya kuingia kwenye ushirikiano wa kisiasa na chama cha UDA chake Rais William Ruto.

Kwa mujibu wa mrengo wa kinara Oburu Oginga ukiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Gladys Wanga, ODM ingali serikalini na kwamba mrengo wa Linda Mwananchi unaoongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna unawapotosha wananchi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

“NUSU MKATE” YA ODM

UPINZANI WAKEJELI KAULI ZA RUTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *