IPOA KIKAANGONI KWA ‘KUKOSA MAADILI YA SIMU’

Naibu mkurugenzi wa kitengo cha uchunguzi katika mamlaka ya IPOA Abdirahman Djibril ameagizwa kufika mbele ya mahakama hapo kesho kutokana na madai ya ukosefu wa maadili wakati wa kuichunguza simu ya OCS wa kituo cha polisi cha Central Samson Taalam.
Hakimu wa mahakama ya Nairobi Ben Mark Ekhubi, alitoa agizo hilo hapo jana baada ya mawakili wa Taalama wakiongozwa na Danstan Omari na Cliffe Ombetsa kuibua madia kwamba wamepoeka jumbe kutoka kwa watu wasiojulikana wakiitisha shingi elfu 80.
Kesi hiyo itatajwa hapo kesho.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa