#Local News

WAVINYA, KIUSYA WALUMBANA

Ubabe wa kisiasa umeanza kujitokeza kati ya gavana wa Machakos Wavinya Ndeti na spika wa bunge la kaunti hiyo Ann Kiusya, baada ya Kiusya kusitisha vikao vya jana bungeni humo kabla ya kujadiliwa kwa mswada wa hazina ya kuyawezesha kifedha makundi ya akina mama kwenye kaunti hiyo.

Katika kikao na wanahabari, Ndeti amemshutumu Kiusya kwa madai ya kuhujumu utendakazi wa serikali hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAVINYA, KIUSYA WALUMBANA

FKF YAINGIA MOU KUINUA SOKA YA VIJANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *