#Local News

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUKABILI UHABA WA CHANJO

Wizara Afya imetangaza kwamba imetenga kima cha shilingi bilioni 1.25 kwa ajili ya uagizaji wa chanjo za Watoto za magonjwa ya polio, ukambi na BCG ili kutatua uhaba ambao umeshudiwa kote nchini.

Kwa mujibu wa taarifa mabayo imechapishwa asubuhi hii katika akaunti ya X ya wizara hiyo, tayari dozi kadhaa za magonjwa hayo zimewasili nchini zikitayarishwa kisha kusambazwa kwa vituo vya chanjo katika maoneo yote tisa ya nchi

Aidha, wizara hiyo imetoa wito kwa wahudumu wa afya kushirikiana na wahudumu wa nyanjani kuhakikisha kuwa Watoto husika wanapokea chanjo hizo.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUKABILI UHABA WA CHANJO

OMBI LA RUTO KWA KI MOON

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUKABILI UHABA WA CHANJO

JOSP ANA IIMANI KWA KIKOSI CHAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *