MZOZO KATI YA WIZARA YA LEBA NA COTU
Mzozo mkali umezuka kati ya muungano wa vyama vya wafanyikiazi (COTU) na wizara ya leba kuhusu mipango ya kuwarejesha nyumbani mamia ya wafanyikazi katika viwanda vinne vya sukari vinavyomilikiwa na serikali.
Kupitia barua kati ya COTU ,serikali na viwanda hivyo inaonyesha mgawanyiko kati ya vikundi hivyo.
Hata hivyo waziri wa leba alfred mutua anatarajiwa kutoa jibu lake kuhusiana na maamuzi ya COTU.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































