RUTO ATARAJIWA KUUNGUA RASMI SHEREHE ZA KITAMADUNI KAUNTI YA SAMBURU
Rais William Ruto anatarajiwa kufungua sherehe za kitamaduni za jamii ya Maa katika kaunti ya Samburu.
Viongozi mbali mbali wa jamii hiyo wakizungumza kwenye sherehe hizo ambazo zinaendelea wamewalaumu wazazi na walezi kwa kutowafunza wanao mil ana desturi za jamii hiyo.
Viongozi hao wamesema kuwa licha ya kuzingatia elimu na teknolojia ya sasa ni vyema kuzingatia mil ana desturi za waafrika.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































