WIZARA YAWATAKA WAZAZI KUKUMBATIA CHANJO
Katibu mkuu katika wizara ya afya Dakta Ouma Oluga, amewataka wakenya kuhakikisha wanapokea chanjo inayoendelea kutolewa dhidi ya homa ya tumbo na ukambi kwenye zoezi ambalo limeratibiwa kukamilika hapo kesho.
Oluga amekuwa akizungumza Kisumu ambako amewataka wazazi kupuuza alichokitaja kuwa propaganda inayotolewa kuhusiana na chanjo hiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































