#Athletics #Sports

TUNAJIPANGA KWA MARATHON

Mkurugenzi Mtendaji wa Nairobi City Marathon Barnaba Korir ameelezea mpango madhubuti unaolenga kuhakikisha mbio za Nairobi City Marathon zinavutia kimataifa.

Korir anasema AK inatazamia mbio za marathon kuwa sehemu ya Msururu wa mbio kubwa za marathon za kimataifa, na hatimaye kutumika kama moja wapo ya mikondo iliyopo.

Makala hayo ya tatu ya mbio za marathon, ambayo hadi sasa yamevutia zaidi ya washiriki 8,600, yanapangwa kufanyika Jumapili hii kuanzia Uwanja wa Nyayo.

Korir, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Vijana ya AK, pia alionyesha nia ya kujenga tasnia thabiti ya michezo ili kutoa fursa kwa wanariadha wa ndani.

Imetayarishwa na Nelson Andati

TUNAJIPANGA KWA MARATHON

HATUPO KWENYE MASHINDANO

TUNAJIPANGA KWA MARATHON

NINA IMANI NA SALAH

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *