#Local News

DAWA 77 ZA KUUA WADUDU ZAPIGWA MARUFUKU

Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe ametangaza kupigwa marufuku kwa aina 77 ya dawa za kuua wadudu shambani kutokana na sababu za kiusalama.

Katika ujumbe Mutahi anasema wamechukua hatua hiyo ili kuhakikisha kuwa dawa zinazotumika nchini ni salama kwa binadamu na kwa mazingira.

Hii ni baada ya ukaguzi ulioendeshwa na bodi ya kudhibiti matumizi ya dawa hizo kwenye zaidi ya aina 430 ya dawa baadhi zikipatikana kutokuwa salama kwa matumizi.

Imetayrishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *